17 June 2011
ENGLISH
Assalaamu alaykum wa rahmatuLLahi wa barakaatuh
Madrasatul Aqsaa Coventry have the pleasure to welcome all brothers and sister in Islam to Alaqsaa online Madrasah-the online Da'wah and learning centre for children and adult too.
- NO Debating
- NO URL Exchange or Telephone Numbers(Except Our Moderators)
- NO Teaching or Preaching(Except Our Teachers & Lecturers)
- NO Profanity, Insults or Any Form of Disrespect to One Another
- NO Talking Politics
- NO Marriage Solicitation/Proposals
- NO Personal Info Exchange
- NO Fake IDs (MUST BE A NAME AND FOLLOWED BY A PLACE OF LIVING)
- NO Use Of "alaqsaa" ID
- NO Use of Mic ( Permission Must Be Obtained From Moderators)
- NO misuse of PRIVATE CHAT
- MUST RESPECT OUR TEACHERS/LECTURERS
---USERS BREACH THESE RULE WILL BE BANNED---
Alaqsaa Online Madrasah
SWAHILI
Assalaamu alaykum wa rahmatuLLahi wa barakaatuh
Madrasatul Aqsaa Coventry ina furaha ya kuwakaribisha Waislamu wote kuingia katika ukumbi wa Alaqsaa online Madrasah-Niukumbi wa daawa na kuelimishana kwa vijana na watu wazima pia.
Kanuni zifuatazo zimekusudiwa khasa kuufanya ukumbi huu ni sehemu ya dawah na kuelimishana kwa waislamu wazungumzao Kiswahili na lugha ya Kiengereza popote duniani.
Ukumbi huu haukukusidiwa kuwa ni mahala pa makutano au kutafuta uchumba. Utumiaji ukumbi wa aina hiyo haturuhusu na watu a aina hiyo watafungiwa kuingia katika ukumbi.
- HAKUNA Malumbano
- HAKUNA Kubadilishana URL au nambari za simu (Isipokuwa Wasimamizi wa ukumbi tu)
- HAKUNA kufundisha au kutoa mawaidha (isipokuwa walimu wetu na wahadhiri wetu tu)
- HAKUNA kutumia lugha chafu au aina yoyote ya kuvunjiana heshima
- HAKUNA kuzungumza siasa
- HAKUNA kutafuta uchumba
- HAKUNA kupeana details za kibinafsi
- HAKUNA majina yasiyotambulikana (JINA LIWE SAHIH LIAMBATANISHWE NA SEHEMU YA KUISHI)
- HAKUNA kutumia jina la "alaqsaa"
- HAKUNA kutumia Mic(Ruhusa ipatikane kutoka kwa wasimamizi)
- HAKUNA kutumia PRIVATE CHAT kwa malengo mengine
- Lazima uwaheshimu walimu na wahadhiri wetu wa ukumbi huu
---ATAKAYEKIUKA ATAFUNGIWA KUINGIA---
Shukran
Alaqsaa Online Madrasah
| < Prev |
|---|


